Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta amuwinda kiungo wa Real Madrid

Aurelien Tchouameni Liver.jpeg Aurelien Tchouameni

Mon, 3 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka nchini England zinadi kuwa Klabu ya Arsenal sasa wanataka kumnunua kiungo wa kati wa Real Madrid Aurelien Tchouameni ambaye atagharimu takriban £85m lakini pia kuna chaguo la kumchukua lwa mkopo kisha kumnunua Januari /Msimu ujao (hii itasababisha arsenal kuwa na nafasi ya kumnunua lakini pia kuuza wachezaji wakubwa kwanza.

Taarifa kutoka nchini England zinadi kuwa Klabu ya Arsenal sasa wanataka kumnunua kiungo wa kati wa Real Madrid Aurelien Tchouameni ambaye atagharimu takriban £85m lakini pia kuna chaguo la kumchukua lwa mkopo kisha kumnunua Januari /Msimu ujao (hii itasababisha arsenal kuwa na nafasi ya kumnunua lakini pia kuuza wachezaji wakubwa kwanza. Tchouameni amekuwa na wakati mgumu kupata namba katika kikosi cha Real Madrid huku miamba hiyo ikiongeza baadhi yanyota katika kikosi chake kama Jude Bellingham.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live