Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta achaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi EPL

Arteta 123.jpeg Arteta achaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi EPL

Fri, 16 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amechaguliwa kuwa Meneja Bora wa Mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya Uingereza.

The Gunners wako kileleni mwa jedwali la ligi baada ya kuanza vyema msimu huu.

Ni mara ya tatu kwa Arteta kushinda tuzo hiyo , mayaji mengine akiyapata msimu uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live