Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arteta Kocha Bora wa Mwezi EPL

Artetaaaa Arteta Kocha Bora wa Mwezi EPL

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Mwezi wa tatu Ligi Kuu ya England huku ikiwa ni mara yake ya nne kwa msimu huu.

Arteta ameiongoza Arsenal katika michezo minne akikusanya alama 12 dhidi ya Everton, Bournemouth, Fulham na Crystal Palace.

Arteta amechukua tuzo hiyo akiwapiku Pep Guardiola (Man City), Unai Emery (Aston Villa), Roberto De Zerbi (Brighton).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: