Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal yawaita 'Malegend' Emirates

Gunners Invicibles Arsenal yawaita 'Malegend' Emirates

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Arsenal imewaalika wachezaji wa kikosi chao cha ‘Invincibles’ kwenye Uwanja wa Emirates kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa msimu huu.

Mwezi huu ni miaka 20 tangu Arsenal ilipomaliza msimu mzima wa 2003-04 bila kufungwa na klabu hiyo inataka kuwaheshimu waliohusika katika mchezo huo wa ajabu.

Wachezaji na wafanyakazi wa timu hiyo maarufu, akiwemo meneja Arsene Wenger, wamealikwa Emirates kuhudhuria mchezo wa mwisho wa msimu wa Arsenal dhidi ya Everton mnamo Mei 19. Pia kutakuwa na chakula cha mchana kusherehekea mafanikio yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live