Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal yaikimbiza Man United usajili wa Victor Osmihen

Salernitana V Ssc Napoli Serie A Scaled Victor Osmihen

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal inaongoza mbio za Kumhitaji kumsajili mshambuliaji wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria Victor Osmihen ( 24), Ambaye kwa sasa amekuwa gumzo kwenye ufungaji wa mabao kule Serea A,

Licha ya kwamba kuna vilabu vingine vingi vinahitaji huduma ya Osmihen lakini Arsenal Ndio timu pekee inayopewa uwezekano mkubwa wa kuweza kumsajili nyota huyo,

Thamani ya Osmihen kwa sasa ni £133 milioni na inatajwa kuwa wenda ukawa moja ya sajili ghali sana EPL.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live