Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wauweka Ubingwa rehani, walazimishwa sare na West Ham

Saka Masikitiko Bukayo Saka akiwa haamini macho yake

Sun, 16 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Washika Mitutu, Arsenal wamelazimishwa sare ya 2-2 na Wagonga Nyundo, West Ham United katika dimba la London.

Arsenal wanasalia kileleni mwa msimamo wa Ligi kuu England alama 74 baada ya mechi 31 huku huku Wagonga Nyundo wakisalia nafasi ya 15 alama 31 baada ya mechi 30.

Wakati Arsenal wakipata sare hiyo Mpinzani wao wa karibu Man City wapo katika kiwango bora na tayari wamepunguza pengo la alama wakiwa na alama 70 na mchezo mmoja mkononi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: