Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal watoa mkeka wachezaji waliowekwa Sokoni

Nicolasa Pepe Joins Nicolas Pepe

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji saba wa Klabu ya Arsenal wamefunguliwa mlango wa kutokea na Kocha Mikel Arteta.

Kulingana na Evening Standard (@EveningStandard), Arsenal wanatazamia kuwaachia wachezaji kama saba wiki ijayo.

Wachezaji hao ni pamoja na;

Kieran Tierney

Sambi Lokonga

Rob Holding

Cedric

Nuno Tavares

Folarin Balogun

Nicolas Pepe

The Gunners wanaweza kupata kiasi cha £100m kutokana na mauzo ya wachezaji hawa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live