Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wasaka wachezaji Afcon

Arsenal Wasaka Wachezaji Arsenal wasaka wachezaji Afcon

Fri, 19 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal imetuma mascouts AFCON kwenda kufuatilia vipaji licha ya kuwa target yao ya kwanza ni kwa mlinzi wa Ivory Coast Ousmane Diomande.

Klabu ya Arsenal imetuma mascouts AFCON kwenda kufuatilia vipaji licha ya kuwa target yao ya kwanza ni kwa mlinzi wa Ivory Coast Ousmane Diomande. Diomande mwanzoni mwa mwezi January aliwahi kuhusishwa na Chelsea pamoja na Real Madrid lakini hakuna dili lililokamilika hadi sasa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live