Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wapiga "Comeback" ya kibabe Emirates

Arsenal Ad431f9 FT Arsenal 3-2 Bournemouth

Sat, 4 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Arsenal imetoka nyuma 2-0 na kushinda 3-2 dhidi ya AFC Bournemouth katika dimba la Emirates huku ikifikisha alama 63 baada ya mechi 26.

Washika Mitutu wapo kileleni mwa msimamo wa #EPL alama 5 mbele ya Bingwa mtetezi, Manchester City iliyopo nafasi ya pili.

Mabao ya Arsenal mtanange wa leo yamefungwa na T. Partey, B. White na R. Nelson aliefunga bao la ushindi dakika za jioni.

Mabao ya AFC Bournemouth yamefungwa na P. Billing na M. Senesi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: