Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal waongeza dau kwa Ivan Toney

Ivan Toney Mshambuliaji wa klabu ya Brentford Ivan Toney

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Arsenal wako tayari kuongeza dau la kumsajili mshambuliaji wa Brentford Ivan Toney January (27),

Toney Meenyewe yuko tayari kuondoka January lakini Brentford inataka ada ya £60m.

Kwa sasa mchezaji huyo yuko nje ya Uwanjua akitumikia adhabu ya kufungiwa miezi 8 kwa kujiuhusisha na michezo ya kubeti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live