Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wanavyoteseka mbele ya Mohamed Salah

Mo Salah 2 Mohamed Salah

Mon, 10 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mohamed Salah tangu alipojiunga na Liverpool katika mechi sita za premier league dhidi ya Arsenal katika uwanja wa Anfield.

Mechi 6

Mabao 6

Amefunga mabao 9 dhidi ya Arsenal katika premier league, mengi zaidi ya mchezaji mwingine yeyote kutoka bara la Afrika (Didier Drogba 8).

Amehusika katika mabao 105 katika mechi 105 za premier league katika uwanja wa Anfield tangu alipojiunga na Liverpool.

Mechi 105

Mabao 74

Pasi za mabao 31

Amehusika katika mabao 20 katika premier league msimu huu, na sasa anakuwa amefanya hivyo katika misimu yote sita ya ligi tangu alipojiunga na Liverpool.

Takwimu zake katika premier league msimu huu hadi sasa

Mechi 29

Dakika alizocheza 2501

Mabao 13

Pasi za mabao 7

Amehusika katika mabao 20

Dakika kwa kila bao 192

Chanzo: www.tanzaniaweb.live