Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wanavyofukuza mwizi kimya kimya EPL

Saka X M Odegaard Arsenal wanavyofukuza mwizi kimya kimya EPL

Sun, 3 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji Arsenal FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumamosi Uwanja wa Emirates Jijini London.

Mabao ya Arsenal yamefungwa na Bukato Saka dakika ya sita na Martin Odegaard dakika ya13, wakati bao la Wolves limefungwa na Matheus Cunha dakika ya 86.

Kwa ushindi huo, Arsenal wanafikisha pointi 33 katika mchezo wa 14 na kuendelea kuongoza ligi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live