Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wamnyatia Willfred Gnonto

Willfred Gnonto Willfred Gnonto

Mon, 27 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal ni moja kati ya klabu kadhaa zinazoisaka sahihi ya Willfred Gnonto mwenye umri wa miaka 19 anayekipiga katika klabu ya Leeds United,

Arsenal imeaonekana kufurahishwa na kiwango cha Gnonto na kutaka kumsajili mshambuliaji huyo wa kitaliano ifikapo majira ya joto,

Gnonto amecheza mechi 20 na kufunga mabao 4 katika klabu ya Leeds United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: