Sat, 18 Feb 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Bodi ya waamuzi ya Ligi Kuu nchini England imetoa taarifa rasmi ya makubaliano ya pande zote mbili na mwamuzi wa muda mrefu Lee Mason baada ya kujiridhisha kufanyika makosa kwenye Mechi kati ya Arsenal Vs Brentford iliyosha kwa sare ya bao 1-1.
Bodi ya waamuzi ya Ligi Kuu nchini England imetoa taarifa rasmi ya makubaliano ya pande zote mbili na mwamuzi wa muda mrefu Lee Mason baada ya kujiridhisha kufanyika makosa kwenye Mechi kati ya Arsenal Vs Brentford iliyosha kwa sare ya bao 1-1. PGMOL wametoa taarifa kuwa Mason si sehemu tena ya waamuzi kuanzia leo.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live