Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wakwaa kisiki EPL, walazimishwa sare na Southampton

E6C5D950 99C4 4477 AC56 7AACBCBF0782.jpeg Arsenal walilazimishwa sare na Southampton ya goli 1-1

Mon, 24 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji Southampton wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St Mary’s, Southampton, Hampshire.

Wageni walitangulia kwa bao la Granit Xhaka dakika ya 11, kabla ya Stuart Armstrong kuisawazishia Southampton dakika ya 65.

Kwa matokeo hayo, Arsenal inafikisha pointi 28 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi mbili zaidi ya Mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 11.

Kwa upande wao, Southampton inafikisha pointi 12 katika mchezo wa 12 nafasi ya 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live