Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal waingia katika mwezi wa majaribu

Bosi Wa Zamani Wa Arsenal Adai Arteta 'amechafua Picha Ya Klabu' Arsenal waingia katika mwezi wa majaribu

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Washika mitutu wa London, Timu ya Arsenal inaingia mwezi Disemba ikiwa kinara wa Ligi kuu ya England.

Arsenal wako kileleni na alama zao 30, wakifuatiwa na Man City wenye alama 29 kisha Liverpool katika nafasi ya tatu wakiwa na alama 28.

Mechi tano zijazo za Arsenal katika EPL.

wolves (H)

Luton town (A)

Aston Villa (A)

Brighton (H)

Liverpool (A)

Je, unadhani Arsenal wanaweza kupata pointi ngapi kati ya pointi 15 ? Au zote

Chanzo: www.tanzaniaweb.live