Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal waifukuzia Liverpool kileleni EPL

Arsenal X Noyyingham Forest Arsenal waifukuzia Liverpool kileleni EPL

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Arsenal jana imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Nottingham Forest katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The City Ground mjini Nottingham, Nottinghamshire.

Mabao ya Arsenal yalifungwa na Gabriel Jesus dakika ya 65 na Bukayo Saka dakika ya 72, wakati bao pekee la Nottingham Forest lilifungwa na Taiwo Awoniyi dakika ya 89.

Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 46 katika mchezo wa 22 na kusogea nafasi ya pili ikizidiwa pointi mbili na Liverpool ambayo pia ina mechi moja mkononi, wakati mabingwa watetezi, Manchester City wana pointi 43 za mechi 20 nafasi ya tatu.

Nottingham Forest baada ya adhabu hiyo wanabaki na pointi zao 20 za mechi 22 nafasi ya 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live