Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal waichapa Wolves, wamuacha City alama 5

F500E99E C6B5 4FEE A768 EA80258A273A.jpeg Arsenal wanaongoza Ligi kuu EPL kwa tofauti ya alama 5

Sun, 13 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Arsenal jana iliibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England mabao yote yakifungwa na kiungo Mnorway, Martin Odegaard dakika ya 54 na 75 Uwanja wa Molineux Stadium (Wolverhampton, West Midlands.

Timu ya Arsenal jana iliibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England mabao yote yakifungwa na kiungo Mnorway, Martin Odegaard dakika ya 54 na 75 Uwanja wa Molineux Stadium (Wolverhampton, West Midlands. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 37 na sasa inaongoza Ligi Kuu kwa pointi tano Zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 14, wakati Wolves inaendelea kushika mkia na pointi zake 10 za mechi 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live