Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wagoma kumuacha Ramsdale

Arsenal Goalkeepers Aaron Ramsdale David Raya Arsenal wagoma kumuacha Ramsdale

Sat, 28 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal haitamruhusu Golikipa wake Aaron Ramsdale kuondoka mwezi January licha ya kuwa kipa chaguo la pili kwa kocha Mikel Arteta baada ya Ujio wa Golikipa mpya David Raya.

Klabu ya Arsenal haitamruhusu Golikipa wake Aaron Ramsdale kuondoka mwezi January licha ya kuwa kipa chaguo la pili kwa kocha Mikel Arteta baada ya Ujio wa Golikipa mpya David Raya. Ramsdale anataka kuondoka Arsenal ili akapate muda mwingi wa kucheza tofauti na ilivyo Arsenal kwa sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live