Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wafuta uteja kwa Man City EPL

IMG 5991.jpeg Arsenal waliibuka na ushindi wa bao 1-0

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la Gabriel Martinelli dakika ya 86 jana liliipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Jijini London.

Bao pekee la Gabriel Martinelli dakika ya 86 jana liliipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Jijini London. Ushindi huo unaifanya Arsenal ifikishe pointi 20 katika nafasi ya pili, ikiizidi pointi mbili Manchester City huku ikizidiwa tu wastani wa mabao na vinara Tottenham Hotspur.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live