Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wafungua milango kwa Thomas Partey

Partey Kusepa Arsenal Kiungo wa Arsenal, Thomas Partey

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mikel Arteta yupo tayari kumuachia (kumuuza) Thomas Partey kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine ifikapo mwezi Januari kutokana na majeruhi anayoyapata mara kwa mara.

Inasemekana kwamba tayari klabu ya Juventus ya Italia na vilabu vingine kutoka Soud Arabia walionesha nia ya kumtaka kiungo huyo kutoka Ghana, lakin mabosi wa Arsenal wanaonekana kuikubali zaidi ofa kutoka timu za Sound Arabia.

Lengo ni kwamba asiondoke kwa hasara na kabla ya kuondoka Arsenal wamepanga kumpata mbadala wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live