Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wafikiria kujenga Sanamu la Wenger

Arsene Wenger Sanamu Arsene Wenger

Thu, 29 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya Arsenal upo kwenye mpango wa kujenga sanamu la aliyewahi kuwa kocha wao mkuu Arsene Wenger nje ya uwanja wao wa Emirates.

Uongozi wa klabu ya Arsenal upo kwenye mpango wa kujenga sanamu la aliyewahi kuwa kocha wao mkuu Arsene Wenger nje ya uwanja wao wa Emirates. Arsene Wenger amedumu na Klabu ya Arsenal kama Kocha kwa miaka 22 kuanzia Oktoba 1, 1996 mpaka mwaka 2020 alipongatuka huku akiacha rekodi mbalimbali yakiwemo mataji matatu ya Ligi Kuu ya England bila kusahau akicheza msimu mzima pasipo kupoteza mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live