Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal waendeleza wimbi la ushindi UROPA

Bukayo Saka Goal Mfungaji wa goli la Arsenal, Bukayo Saka

Fri, 14 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Bodo/Glimt katika mchezo wa Kundi A UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Aspmyra Jijini Bodø.

Timu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Bodo/Glimt katika mchezo wa Kundi A UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Aspmyra Jijini Bodø. Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, Bukayo Saka dakika ya na kwa matokeo hayo The Gunners wanafikisha pointi tisa na kuendelea kuongoza kundi hilo kwa pointi mbili zaidi ya PSV Eindhoven.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live