Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal wababe haswa EPL

Arsenal X Noyyingham Forest Arsenal wababe haswa EPL

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal haijaruhusu nyavu kuguswa katika mechi zake sita za mwisho za Ligi Kuu England ikiwa ugenini.

Klabu ya Arsenal haijaruhusu nyavu kuguswa katika mechi zake sita za mwisho za Ligi Kuu England ikiwa ugenini. Ni Chelsea Disemba 2008 na Manchester United Februari 2009 (zote mechi 7) ndio zimefanya hivyo ugenini zaidi ya timu zote kwenye historia ya michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live