Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal waanza na moto Ligi ya Mabingwa Ulaya

IMG 5788.jpeg Arsenal waanza na moto Ligi ya Mabingwa Ulaya

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi katika mchezo wa Kundi Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Emirates Jijini London.

Mabao ya Arsenal yamefungwa na Bukayo Saka dakika ya nane, Leandro Trossard dakika ya 20, Gabriel Jesus dakika ya 38 na Martin Odegaard dakika ya 70.

Mchezo mwingine wa Kundi hilo, wenyeji Sevilla walitoa sare ya 1-1 na Lens ya Ufaransa Uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán mjini Sevilla, Hispania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live