Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal vs Man City linakufa jitu leo

Arsenal Vs Man City Arsenal vs Man City linakufa jitu leo

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu England inaendelea tena leo Oktoba 8, 2023 kwa mechi nne lakini kubwa kuliko ni mpambano kati ya Mabingwa Watetezi dhidi ya Washindi wa Ngao ya Jamii 2023, katika dimba la Emirates.

Liverpool ambao wamekuwa na msimu bora mpaka sasa wataendelea kuzisaka alama tatu wakiwa wageni wa Brighton katika dimba la AMEX majira ya saa 10, 2023.

Arsenal vs Man City

Uwanja: Emirates

Muda saa 18:30 jioni

Mwamuzi: Michael Oliver

Brighton vs Liverpool

Uwanja : AMEX

Muda : saa 10:00 jioni

Mwamuzi: Anthony Taylor

16:00 West Ham United vs Newcastle

16:00 Wolves vs Aston Villa

Kuelekea mchezo Arsenal huenda ikamkosa winga Bukayo Saka kutokana na majeraha huku mlinzi Jurrien Timber akiendelea kuwa nje kwa majeraha.

Kwa upande wake Man City itaendelea kumkosa Kevin de Bruyne kwa majeraha huku kiungo Rodrigo akikosa mchezo huu kutokana na adhabu ya kadi nyekundu aliyopata dhidi ya Nottingham Forest.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live