Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal uso kwa uso na Tottenham nusu Fainali Carabao

Chelsea Enter Semi Final Chelsea wamefanikiwa kutinga hatua ya Nusu Fainali Kombe la Carabao Cup

Thu, 23 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa wa Ulaya, Chelsea wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 2-0 dhidi Brentford usiku huu Uwanja wa Brentford Community mjini Brentford, Middlesex.

Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pontus Jansson aliyejifunga dakika ya 80 na Jorginho kwa penalti dakika ya 85 na kwa ushindi huo The Blues ya kocha Thomas Tuchel itakutana na Tottenham Nusu Fainali.

Mchezo mwingine wa nusu Fainali utakua ni Arsenali dhidi ya Liverpool, na michezo hiyo ya mzunguko wa kwanza itapigwa Januari 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live