Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal tishio kila kona

Arsenal Ngoma Ngumu Arsenal tishio kila kona

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa imebakiwa na michezo miwili, Arsenal imefikisha ushindi wa mechi 26 sawa na msimu uliopita wa Ligi Kuu England (26).

Ikiwa imebakiwa na michezo miwili, Arsenal imefikisha ushindi wa mechi 26 sawa na msimu uliopita wa Ligi Kuu England (26). Rekodi ya Arsenal kushinda mechi nyingi zaidi iliiweka msimu wa 1970-71 iliposhinda mechi 29 na hapo kabla 1930-31 ilishinda mechi 28 zikiwa ndio rekodi za juu zaidi ya ushindi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live