Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal na muendelezo wa ushindi Uropa

Kieran Tierney Arsenal walishinda 1-0

Fri, 4 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Goli la pekee la Kieran Tierney dakika ya 17 limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya FC Zurich ya Uswisi katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates Jijini London.

Goli la pekee la Kieran Tierney dakika ya 17 limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya FC Zurich ya Uswisi katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates Jijini London. Kwa matokeo hayo, Arsenal inamaliza na pointi 15 kileleni, mbele ya PSV Eindhoven iliyomaliza na pointi 13 na zote zinasonga mbele, huku Bodø /Glimt na Zürich zikiaga mashindano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live