Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal na mabao ya dakika za lala salama

Decline Riceeee.jpeg Arsenal na mabao ya dakika za lala salama

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la ushindi la Arsenal alilofunga Declan Rice katika dakika ya 96:23 dhidi ya Luton, limekuwa bao la usiku zaidi katika mechi ya ugenini ya EPL (tangu 2006-07).

Bao la ushindi la Arsenal alilofunga Declan Rice katika dakika ya 96:23 dhidi ya Luton, limekuwa bao la usiku zaidi katika mechi ya ugenini ya EPL (tangu 2006-07). Declan Rice anakuwa mchezaji wa tatu wa Arsenal kufunga mabao mawili ya dakika za lalasama katika msimu mmoja baada ya Ian Wright (1993-94 na 1995-96) na Nicklas Bendtner (2009-10).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live