Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal mmesikia! Dili limekufa huko

Yaldiz Kennan Yildiz

Sun, 5 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dili la klabu ya Arsenal juu ya kuhitaji kumsajili kinda wa klabu ya Juventus raia wa Uturuki Kennan Yildiz limekufa rasmi baada ya mchezaji huyo kuongeza mkataba wa kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka June 2028,

Dili la klabu ya Arsenal juu ya kuhitaji kumsajili kinda wa klabu ya Juventus raia wa Uturuki Kennan Yildiz limekufa rasmi baada ya mchezaji huyo kuongeza mkataba wa kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka June 2028, Pia katika mkataba huo pia Kuna kipengele Cha kuongeza mwaka mmoja mwingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live