Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal kwa mwendo huu, yoyote aje

Kai Havertz Goal Arsenal kwa mwendo huu, yoyote aje

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya bao la Kai Havertz dakika za jioni, Arsenal imeungana na Brighton kwenye rekodi ya kuwa timu zilizofunga mabao mengi kupitia wachezaji waliotokea benchi tangu kuanza kwa msimu huu.

Baada ya bao la Kai Havertz dakika za jioni, Arsenal imeungana na Brighton kwenye rekodi ya kuwa timu zilizofunga mabao mengi kupitia wachezaji waliotokea benchi tangu kuanza kwa msimu huu. Timu hizi zote zimefunga mabao 10 ya aina hiyo. Bao hilo pia liliifanya Arsenal kufikisha alama 30 na kukaa kwenye kilele cha msimamo wa EPL

Chanzo: www.tanzaniaweb.live