Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal kwa mara ya kwanza EPL

Arsenal Attackers Martin Odegaard And Gabriel Martinelli Gabriel Martinelli na Martin Odegaard

Wed, 10 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Gabriel Martinelli na Martin Odegaard kila mmoja kufikisha mabao 15, Arsenal hii ni mara ya kwanza kabisa kuwa na wachezaji wawili waliofunga mabao 15+ kwenye msimu mmoja wa Ligi Kuu England.

Baada ya Gabriel Martinelli na Martin Odegaard kila mmoja kufikisha mabao 15, Arsenal hii ni mara ya kwanza kabisa kuwa na wachezaji wawili waliofunga mabao 15+ kwenye msimu mmoja wa Ligi Kuu England. Arsenal kwa sasa wanapambana na Man City kuhakikisha wanabeba taji la Ligi Kuu baada ya kupita miaka 19.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: