Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal kushusha mashine tatu

Arsenal Treee.jpeg Arsenal kushusha mashine tatu

Tue, 13 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

The Gunners wanaripotiwa kukaribia kukubaliana ada na West Ham kwa walengwa wao wakuu lakini hawatamalizwa hapo kwenye soko la usajili.

Rice amekuwa akihusishwa na kuhamia Arsenal kwa miezi kadhaa. Mikel Arteta amekuwa na uhakika wa kupata dili kimya kimya na West Ham haitamzuia.

Rice aliiongoza The Hammers kutwaa ubingwa wa Ligi ya Europa mjini Prague wiki iliyopita. Lakini huo sasa unaonekana kuwa mchezo wake wa mwisho kwa klabu hiyo aliyojiunga nayo akiwa na umri wa miaka 14.

The Guardian inasema ada inakaribia kukamilika kati ya Arsenal na West Ham. The Gunners watalipa zaidi ya pauni milioni 100 kumnunua kiungo huyo iwapo baadhi ya nyongeza zitapatikana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live