Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal kumlipa Saka Tsh Bilioni 42 kwa mwaka

Bukayo Saka Arsenal F365 1 Arsenal kumlipa Saka Tsh Bilioni 42 kwa mwaka

Tue, 28 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal ipo katika mazungumzo na Bukayo Saka kuhusu maboresho ya mkataba mpya ikidaiwa kuwa unaweza kumfanya apokee Pauni milioni 15 (Tsh Bilioni 43) kwa mwaka ikiwa ni malipo ya mshahara na posho.

Hilo likitimia atakuwa mchezaji anayelipwa vizuri zaidi klabuni hapo, mshahara kwa wiki ukitarajiwa kuwa Pauni 300,000 (Tsh Milioni 858).

Mchezaji wa mwisho kulipwa kiwango kikubwa klabuni hapo alikuwa Mesut Ozil aliyeliowa mshahara wa Pauni 350,000 (Tsh Bilioni 1).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: