Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal kuibomoa Man City kumsaka mrithi wa Xhaka

Kapten Manchester City Ilkay Gundogan Dan Bintang Arsenal Granit Xhaka Xhaka na Gundogan

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Arsenal itajaribu kumsajili Nahodha wa Manchester City Ilkay Gundogan ikiwa Granit Xhaka ataondoka klabuni hapo.

Klabu ya Arsenal itajaribu kumsajili Nahodha wa Manchester City Ilkay Gundogan ikiwa Granit Xhaka ataondoka klabuni hapo. Gundogan anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu na tayari Klabu ya Barcelona wameonesha nia ya kumsajili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live