Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal kufunga usajili na Mbrazil

 Bitello João Paulo de Souza Mares 'Bitello'

Wed, 30 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Arsenal wanaweza kuwa na ndoto ya mwisho wa dirisha la uhamisho kwa kukamilisha Usajili wa Kiungo wa Ushambuliaji, Fundi wa Kibrazil João Paulo de Souza Mares 'Bitello' (23) akitokea klab ya Gremio kwa ada ya Usajili £8.5m.

Arsenal wanaweza kuwa na ndoto ya mwisho wa dirisha la uhamisho kwa kukamilisha Usajili wa Kiungo wa Ushambuliaji, Fundi wa Kibrazil João Paulo de Souza Mares 'Bitello' (23) akitokea klab ya Gremio kwa ada ya Usajili £8.5m. Rais wa klab ya Gremio Antonio Brum's amethibitisha kuwa ni kweli wamepokea Ombi kutoka ndani ya klab ya Arsenal na tayari linafanyiwa kazi na Uongozi wa klabu ya Gremio.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live