Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal kucheza mechi ya UEFA baada ya miaka 6

Arsenal Tonight Arsenal warejea UEFA baada ya miaka 6

Wed, 20 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kukaa miaka takribani sita (6) klabu ya Arsenal inarudi tena kwenye michuano ya Ulaya (UEFA Champions League) na leo Jumatano watakuwa na kibarua mbele ya PSV Eindhoven ya Uholanzi.

Rekodi ziko wazi mfungaji bora (35) wa klabu ya Arsenal katika michuano hii kwa sasa ni mchambuzi wa soka (Thiery Henry) huku akicheza mara nyingi zaidi ya mchezaji yeyote wa Arsenal (78) kwenye michuano hii.

Mara ya mwisho kushiriki michuano hii ilikua msimu wa 2016/17 walipotolewa hatua ya 16 bora walipotolewa kwa kipigo cha jumla ya magoli 10-2 dhidi ya Bayern Munich.

Wanaenda kukipiga dhidi ya PSV huku ikiwa haina hata chembe chembe ya mtu mchezaji mmoja aliyeanza katika mchezo wao wa mwisho dhidi ya Bayern.

PSV wao wana mkongwe Luuk De Jong ambaye ni nahodha wa timu ya Arsenal bila kumsahau Hirving Lozano

Je wataianza safari hii mpya kwa mafanikio baada ya muda mrefu usiku wa leo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live