Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal hati hati kushiriki Kombe la Dunia

Arsenal Vs Bayern UEFA Arsenal hati hati kushiriki Kombe la Dunia

Wed, 17 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Barcelona haitashiriki fainali za kombe la Dunia na Atletico rasmi itaungana na Bayern kutoka Ujerumani kwenye fainali hizo.

Timu zilizofuzu kushiriki kombe la Dunia lijalo hadi hivi sasa kwa upande wa ukanda wa UEFA.

Manchester City, Chelsea.

Real Madrid, Atlético Madrid.

Bayern, Borussia Dortmund.

Paris Saint-Germain.

Inter, Juventus.

Benfica, Porto.

Imesalia timu moja pekee kuungana na zilizofuzu hapo juu, na timu hizo ni kati ya Arsenal au Salzburg.

Arsenal atatoboa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live