Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal, United kazi kwenu kwa Fofana

Arsenal Kumsaka Youssouf Fofana Wa Monaco Youssouf Fofana

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya AS Monaco FC ya nchini Ufaransa wako tayari kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa, Youssouf Fofana anayelengwa na Arsenal na Manchester United kwa pauni milioni 20, huku kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ikikamilika mwaka ujao

Timu ya AS Monaco FC ya nchini Ufaransa wako tayari kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa, Youssouf Fofana anayelengwa na Arsenal na Manchester United kwa pauni milioni 20, huku kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ikikamilika mwaka ujao Aya kazi kwenu sasa Arsenal na Manchester United

Chanzo: www.tanzaniaweb.live