Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal, Man United wapambana kuinasa saini ya kinda huyu..!

Luca Netz Luca Netz

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu za Arsenal , Manchester United , Newcastle na Chelsea zote zinaonyesha nia ya kumnunua beki wa kushoto wa Borussia Monchengladbach raia wa Ujerumani, Luca Netz mwenye umri wa miaka 20.

Timu za Arsenal , Manchester United , Newcastle na Chelsea zote zinaonyesha nia ya kumnunua beki wa kushoto wa Borussia Monchengladbach raia wa Ujerumani, Luca Netz mwenye umri wa miaka 20. Netz amekuwa na kiwango bora sana katika Ligi ya Bundesliga hali iliyomfanya ageuke kuwa dhahabu inayosakwa na kila mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live