Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal, Man United vitani kwa Kinda wa Hispania

Miguel Gutierrez Miguel Gutierrez

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Arsenal wanajiandaa kupambana na Manchester United katika kinyang'anyiro cha kumsajili mlinzi wa Uhispania Miguel Gutierrez kutoka Girona mwenye umri wa miaka 22.

Timu ya Arsenal wanajiandaa kupambana na Manchester United katika kinyang'anyiro cha kumsajili mlinzi wa Uhispania Miguel Gutierrez kutoka Girona mwenye umri wa miaka 22. Manchester United ndiyo walikuwa wa kwanza kuonyesha nia ya kumtaka kinda huyo wa zamani wa Real Madrid ila Arsenal nao wameanza kumnyatia ili atue Emirates.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live