Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arne Slot kuhamia jumba la kifahari analioshi Klopp

Rsdsd Arne Slot kuhamia jumba la kifahari analioshi Klopp

Sun, 12 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa kiholanzi Arne Slot anatazamiwa kuchukua mikoba ya Jürgen Klopp kama meneja wa Liverpool mwishoni mwa msimu huu na kuhamia kwenye jumba la kifahari analoishi Jurgen Klopp lenye thamani ya dola milioni 5.

Magari ya kubebea mizigo yameonekana nje ya jumba hilo la kifahari lenye vyumba saba vya kulala, ikiwa ni ishara ya kuonyesha kwamba Klopp ameanza kufangasha mizigo kidogo kidogo.

Baadhi ya vilivyomo kwenye jumba hilo ni vyumba vitatu vya mapumziko, chumba cha kuangalizia filamu, bwawa la kuogelea la ndani na bustani kali sana kupita maelezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live