Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Argentina wanavyomtafutia Kombe jingine Lionel Messi

Lionel Messi Xxxxxx Lionel Messi

Wed, 14 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Argentina U23 imefuzu fainali za Olympic ambazo zitafanyika Jijini Paris nchini Ufaransa kwa kumtoa bingwa wa mashindano hayo timu ya Taifa ya Brazil.

Kocha mkuu wa kikosi hicho Javier Mascherano ameeleza kuwa milango ipo wazi kwa nyota wa timu ya Taifa ya Argentina Leonel Messi kujumuika na kikosi hicho na atapatiwa kitambaa cha unahodha.

Kitendo hiki kinaonekana kama ni kampeni ya kum,tafutia Messi Kombe jingine na kuzidi kumuacha mbali mpinzani wake Cristiano Ronaldo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live