Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arafat akabidhi Milioni 2.5 alizoahidi kwa Karume Boys

Arafat Noti Arafat akabidhi Milioni 2.5 alizoahidi kwa Karume Boys

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makamu wa Rais wa Yanga Arafat (kulia) akikabidhi kiasi cha fedha sh2.5 milioni za ahadi yake ya mabao ya Karume Boys kwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Tabia Mwita.

Karume Boys alitwaa ubingwa wa Cecafa kwa vijana chini ya umri wa miaka 15 mwaka 2023 iliyokuwa yanafanyika nchini Uganda.

Karume Boys ilishinda kwa mikwaju ya penalti 4-3 baada ya kumalizika kwa dakika 90 waki-fungana bao 1-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live