Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arafat aahidi kununua bao laki 5

Arafat Haji Na Hersi Said Makamu wa Rais Yanga, Arafat Haji akiwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makamu wa Rais wa Yanga SC Arafat Haji ameahidi kutoa shilingi laki 5 kwa kila goli ambalo watafunga Zanzibar U15 kwenye mchezo wa Leo wa fainali kati yao dhidi ya Uganda U15.

Arafat Haji Arafat Haji leo atashuhudia pamoja na Rais wake wa Yanga SC, Eng. Hersi mechi ya fainali ya michuano ya CECAFA U-15, Kati ya Zanzibar U15 dhidi ya Uganda U15 utakaochezwa saa 9 alasiri Njeru, nchini Uganda.

Mchezo watautama kwenye viwanja vya Kisonge visiwani Zanzibar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live