Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arafat Haji: Tuna ratiba ngumu kuelekea mchezo wa Belouizdad

Arafat Haji Kisasi Makamu wa Rais Yanga, Arafat Haji

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makamu wa Rais wa klabu ya Young Africans Arafat Haji amesema wana ratiba ngumu kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na wachezaji wao wengi kuwa kwenye majukumu ya timu zao za Taifa.

Makamu wa Rais wa klabu ya Young Africans Arafat Haji amesema wana ratiba ngumu kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na wachezaji wao wengi kuwa kwenye majukumu ya timu zao za Taifa. Kama timu tayari wameshafanya taratibu zote kuhakikisha wachezaji wote waliopo kwenye timu zao za Taifa wanaripoti Algeria kwa wakati kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya CR Belouizdad.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: