Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Apiga bao tano Michuano ya Nodondo Cup Kahama

Majeshi Majeshi akikabidhiwa Mpira wake baada ya kufunga Hat Trick

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwenye ushindi wa mabao matano kwa sifuri(5-0) walioupata Timu ya Mabao hii leo nyota Juma Majeshi ameondoka na mpira baada ya kufunga mabao matano peke yake katika mchezo wa michuano ya Ndondo Cup inayoendelea mjini Kahama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live