Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aondolewa kikosini kisa vita ya Gaza

Anwar Anwar Anwar El Ghaz

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Mainz 05 Anwar El Ghaz amesimamishwa klabuni hapo baada ya kushiriki na kutoa msimamo wake juu ya vita inayoendelea kati ya Gaza na Israel.

Mshambuliaji wa Mainz 05 Anwar El Ghaz amesimamishwa klabuni hapo baada ya kushiriki na kutoa msimamo wake juu ya vita inayoendelea kati ya Gaza na Israel. El Ghazi amejiunga na klabu hiyo ya Ujerumani wiki chache zilizopita kama mchezaji huru, Mainz imesema haiungi mijadala ya kisiasa ambayo inaendelea huko Middle East.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live