Klabu ya Manchester United inafikiria kumuondoa winga, Antony Santos kwenye timu yao baada ya malalamiko mapya kutoka kwa mpenzi wake wa zamani Gabriela Cavallin ambaye amedai alimnyanyasa kijinsia.
Klabu ya Manchester United inafikiria kumuondoa winga, Antony Santos kwenye timu yao baada ya malalamiko mapya kutoka kwa mpenzi wake wa zamani Gabriela Cavallin ambaye amedai alimnyanyasa kijinsia. Hatua hii inakuja baada ya timu ya Taifa ya Brazil kumuondoa Antony kwenye Kikosi cha Brazil kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Peru na Bolivia huku nafasi yake ikichukuliwa na mshambuliaji wa Arsenal, Gabriel Jesus